005 - Na Tumwabudu Mfalme Mtukufu "O Worship The King"

 005 - Na Tumwabudu Mfalme Mtukufu

"O Worship The King"



1

Na tumwabudu  huyu Mfalme,

Sifa za nguvu zake zivume;

Ni ngao, ni ngome, Yeye milele,

Ndizo sifa zake kale na kale.


2

Tazameni ulimwengu huu,

Ulivyoumwa, ajabu kuu;

Sasa umewekwa pahali pake,

Hata utimize majira yake.


3

Kwa ulinzi wako, kwetu Bwana,

Twakushukuru, U mwema sana;

Hupewa chakula kila kiumbe,

Kila kitu kila mahali pake.


4

Wanadamu tu wanyange sana,

Twakutumaini wewe, Bwana;

Kamwe haupunguiwsako wema,

Mkoombozi wetu, Rafiki mwema.

Comments